Kuhusu sisi
1xCasino ni mradi mpya unaoletwa kwako na chapa maarufu ya 1xBet. Sisi ni waendeshaji wa kasino wenye leseni rasmi, ambayo inahakikisha malipo ya haki na uaminifu wa viwango vya juu zaidi katika tasnia ya michezo ya kubahatisha.
Sloti na Kasino Mbashara
Tunashirikiana na watoa huduma za michezo ya kubahatisha wa kuaminika ambao wamethibitishwa na eCOGRA au mashirika mengine ya kujitegemea ambayo yanapima na kuthibitisha ubora na kutegemeka kwa michezo yetu.
Kwa 1xCasino, utapata zaidi ya michezo tofauti tofauti 6,000, kuanzia mashine za kisasa za sloti hadi kasino za mtandaoni zilizo na wagawa karaba wa mbashara. Tunafanya kazi bila kuchoka ili kuhakikisha kuwa wateja wetu wanapata mambo ya hivi punde na yaliyo bora zaidi ambayo tasnia ya michezo ya kubahatisha inaweza kutoa, ndiyo maana tunashirikiana na watoa huduma wanaotegemeka sana wanaojulikana kwa ubunifu wako wa kipekee, michezo ya kuvutia na malipo ya haki.
Utoaji pesa
Usalama na faraja ya wachezaji wetu ni kipaumbele chetu cha kwanza, na ndiyo maana tunatoa njia mbalimbali za malipo. Wateja wanaweza kuweka fedha na kutoa pesa kupitia njia ya benki, kwa kutumia kadi zao za benki, pochi za mtandaoni, na njia nyingine nyingi. Lengo letu ni kufanya suala la kuweka fedha na kutoa fedha za ushindi kuwa rahisi kadri iwezekanavyo.
Tunazingatia sana Sheria ya Utakatishaji Fedha, na ndiyo maana tunatumia njia ile ile ya malipo ambayo wateja wetu walitumia kuweka fedha kuwalipa fedha zao za ushindi.
Usaidizi wa kiufundi
Huduma yetu ya usaidizi inapatikana 24/7, ikiwemo siku za mwisho wa wiki na sikukuu za kitaifa. Kwa suala lolote lile - ama unapata shida kuweka fedha, kutoa fedha au una swali kuhusiana na mchezo - tutafurahi kukusaidia.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa kututumia barua pepe kupitia: support-en@1xcasino-af.com
